<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1035560095760914532">Weka Chrome katika sehemu ya chini ili uifikie wakati wowote</translation>
<translation id="1076643793026027628">Chrome hufungua kiotomatiki viungo vya Faraghani vya YouTube katika hali ya Faraghani.</translation>
<translation id="1081114897601629648">Manenosiri yafuatayo hayakuhamishiwa kwenye Kidhibiti cha Manenosiri cha Google, kwa sababu hayatimizi masharti.</translation>
<translation id="1086486568852410168">Tafuta ukitumia Lenzi ya Google</translation>
<translation id="1088490543924960890">Anza kuhifadhi funguo za siri ukitumia Kidhibiti cha Manenosiri cha Google</translation>
<translation id="1143896152279775643">Nenosiri lako litahifadhiwa kwenye Kidhibiti cha Manenosiri cha Google kwa ajili ya <ph name="EMAIL" />.</translation>
<translation id="1146503048444965320">Fungua kichupo kipya kwenye Chrome</translation>
<translation id="1158134713295836892">Gemini kwenye Chrome</translation>
<translation id="1166460004393506534">Futa data ya kuvinjari kwenye Chrome</translation>
<translation id="1179527450541388808">Fikia Chrome kwa haraka zaidi katika sehemu iliyopachikwa kwenye skrini ya kwanza ya iPad yako.</translation>
<translation id="1180362651362502943">Endelea kutumia data ya Chrome katika Akaunti yako ya Google.</translation>
<translation id="1200396280085622191">Tumia Chrome wakati wowote unapogusa viungo kwenye ujumbe na programu zingine.</translation>
<translation id="1229222343402087523">Tafuta ${searchPhrase} kwenye Chrome</translation>
<translation id="1237769345474105984">Kutoka Chrome</translation>
<translation id="124228879633599436">Toleo lako la Chrome limepitwa na wakati. Lisasishe ili uimarishe usalama.</translation>
<translation id="1258531953614971819">Kidokezo cha Chrome: Hamishia Chrome kwenye skrini yako ya kwanza</translation>
<translation id="1333577334443425318">Fanya Chrome iwe kivinjari chaguomsingi ili uache kunakili viungo kutoka kwenye programu nyingine.</translation>
<translation id="1333745675627230582">Cheza Mchezo wa Dinosau wa Chrome</translation>
<translation id="1343830902827845050">Ingia katika Chrome</translation>
<translation id="1352919863522755794">Kidhibiti cha Manenosiri cha Google hakikuweza kukagua manenosiri yako. Jaribu kuangalia muunganisho wako wa Intaneti.</translation>
<translation id="1394995526009609883">Unaweza kusasisha chaguo zako wakati wowote katika mipangilio ya Chrome.</translation>
<translation id="1407843355326180937">Ingia katika tovuti hii na Chrome ili upate alamisho zako na zaidi kwenye vifaa vyako vyote.</translation>
<translation id="1462727070346936664">Ingia katika akaunti ili unufaike zaidi na Chrome.</translation>
<translation id="1493827051843127077">Weka Chrome iwe kivinjari chaguomsingi cha kusawazisha vichupo, manenosiri na maelezo yako ya malipo kwenye vifaa vyako vyote</translation>
<translation id="1504372625950710826">Chrome imeshindwa kukagua kama kuna masasisho. Jaribu kuangalia muunganisho wako wa Intaneti.</translation>
<translation id="1516692594929310090">Hufungua Gridi ya Kichupo cha Chrome.</translation>
<translation id="1526327845902180576">Inapokuwa imewashwa:
<ph name="BEGIN_INDENT" />  • Saidia kuboresha Chrome kwa ajili ya watu wanaoitumia kama wewe unavyoitumia.<ph name="END_INDENT" />

Mambo ya kuzingatia:
<ph name="BEGIN_INDENT" />  • Maelezo kuhusu matumizi yako ya Chrome hutumwa kwenda Google, lakini hayahusishwi na wewe.

  • Chrome ikiacha kufanya kazi, maelezo kuhusu tukio la kuacha kufanya kazi yanaweza kujumuisha baadhi ya taarifa binafsi.

  • Ikiwa umesawazisha historia yako kwenye Akaunti yako ya Google, vipimo vinaweza kujumuisha maelezo kuhusu URL unazotembelea.<ph name="END_INDENT" /></translation>
<translation id="1554731936187952550">Una ulinzi thabiti zaidi wa Chrome dhidi ya tovuti hatari</translation>
<translation id="155816064895200734">Ifanye Chrome iwe kivinjari chaguomsingi</translation>
<translation id="1580570086594302477">Hufungua Kichupo kipya cha faragha cha Chrome.</translation>
<translation id="1605168141396675642">Epuka usumbufu wa kunakili. Fungua viungo moja kwa moja kwenye Chrome.</translation>
<translation id="1646463005043273333">Hufungua Mipangilio ya Chrome ili uifanye Chrome iwe kivinjari chaguomsingi.</translation>
<translation id="1670609221633730681">Kidokezo cha Chrome: Chagua nafasi ya sehemu ya anwani yako</translation>
<translation id="1683863426423719967">Ili upokee Vikumbusho vya Vichupo kutoka Chrome, washa arifa katika Mipangilio yako ya iOS.</translation>
<translation id="1759842336958782510">Chrome</translation>
<translation id="1784567647421309104">Hifadhi Manenosiri Yako katika Chrome</translation>
<translation id="1790080846677398234">Huweka URL zinazowekwa kwenye alamisho zako katika Chrome.</translation>
<translation id="1799920918471566157">Vidokezo vya Chrome</translation>
<translation id="1830634592642484976">Anwani hii kwa sasa imehifadhiwa kwenye Chrome. Ili uitumie kwenye bidhaa za Google, ihifadhi kwenye Akaunti yako ya Google, <ph name="USER_EMAIL" />.</translation>
<translation id="1891812034154776216">Ficha Vichupo vya faragha ulivyofungua unapoondoka kwenye Chrome</translation>
<translation id="1894434821386148799">Unaweza kupata mipangilio ya Chrome na zaidi hapa</translation>
<translation id="1917964099031477364">Akaunti hii na data yoyote ambayo haijahifadhiwa itaondolewa kwenye Chrome na programu zingine za Google kwenye kifaa hiki.</translation>
<translation id="1919130412786645364">Ruhusu kuingia katika akaunti ya Chrome</translation>
<translation id="1965935827552890526">Kamilisha ulichokuwa ukifanya kwenye dirisha jingine ulilofungua la Chrome.</translation>
<translation id="1966638102563776885">Kidokezo cha Chrome: Pata manenosiri kwenye programu yoyote</translation>
<translation id="1973910962341002002">Kwenye mipangilio ya "<ph name="TEXT_OF_THE_SETTINGS_MENU_ITEM" />", washa "Chrome"</translation>
<translation id="1984705450038014246">Sawazisha data yako kwenye Chrome</translation>
<translation id="1987779152850321833">Kamilisha vitendo hivi vilivyopendekezwa hapa chini ili unufaike zaidi na Chrome.</translation>
<translation id="2055826352861631739">Kutumia Chrome kwa chaguomsingi kwenye iPad</translation>
<translation id="2056123005618757196">Fanya mengi zaidi kwa kutumia Google Chrome ambayo ni rahisi, salama na yenye kasi zaidi.</translation>
<translation id="2120238739383482109">Hufungua alamisho za Chrome.</translation>
<translation id="2147651015520127414">Chrome imethibitisha kuwa <ph name="ISSUER" /> ndiye mtoa cheti cha tovuti hii.</translation>
<translation id="2199719347983604670">Data kutoka usawazishaji wa Chrome</translation>
<translation id="2212318912894837281">Weka kauli ya siri ili uhifadhi nenosiri hili na upate data ya Chrome kwenye vifaa vyako vyote</translation>
<translation id="2213327331203157297">Ili uzime Hali ya Kufunga katika Chrome, izime kwenye iPhone yako.</translation>
<translation id="2242467532204595597">Tumia Chrome wakati wowote unapogusa viungo kwenye ujumbe, hati na programu zingine.</translation>
<translation id="2270691132923135296">Fahamu mambo ya msingi yanayofaa kuhusu Chrome ili uanze</translation>
<translation id="2311240109311056604">Hufungua Mchezo wa Dinosau wa Chrome.</translation>
<translation id="2339201583852607431">Nenosiri lako litahifadhiwa katika Akaunti yako ya Google (<ph name="EMAIL" />).</translation>
<translation id="2342919707875585281">Chrome hushiriki maelezo ya mahali ulipo na tovuti unazoruhusu.</translation>
<translation id="2347208864470321755">Kipengee hiki kikiwashwa, Chrome itatafsiri kurasa zilizoandikwa kwa lugha zingine kwa kutumia Google Tafsiri. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="2423077901494354337">Sasa utanufaika zaidi na Chrome kwenye kifaa chako.</translation>
<translation id="2427791862912929107">Chrome ina vipengele vinavyokusaidia kudhibiti data yako ya intaneti na kasi ya kupakia kurasa za wavuti.
<ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="2450221499140985490">Fungua viungo kutoka kwenye ujumbe na hati moja kwa moja katika Chrome.</translation>
<translation id="2464852008153767546">{THRESHOLD,plural, =1{Hali hii hutokea wakati hujatumia Chrome kwa dakika {THRESHOLD}. Data hii inaweza kujumuisha historia na matukio ya kujaza kiotomatiki.}other{Hali hii hutokea wakati hujatumia Chrome kwa dakika {THRESHOLD}. Data hii inaweza kujumuisha historia na matukio ya kujaza kiotomatiki.}}</translation>
<translation id="2561231791489583059">Tumia Chrome kama kivinjari chako chaguomsingi ili uendelee kulindwa dhidi ya tovuti hatari na uhakikishe manenosiri yako ni salama</translation>
<translation id="2574249610672786438">Ili uone vichupo vyako kwenye kifaa chochote unakotumia Chrome, ingia katika akaunti ukitumia vifaa vyako vyote</translation>
<translation id="2576431527583832481">Chrome imekuwa bora! Toleo jipya linapatikana.</translation>
<translation id="257708665678654955">Ungependa Google Chrome ijitolee kutafsiri kurasa za <ph name="LANGUAGE_NAME" /> kutoka tovuti hii wakati ujao?</translation>
<translation id="2668242166988961773">Tafuta ukitumia sauti kwenye Chrome.</translation>
<translation id="2703746758996815929">Ili upate vidokezo muhimu vya Chrome, washa arifa kwenye mipangilio yako ya iOS.</translation>
<translation id="2728851697704606655">Kutafsiri ukitumia Lenzi ya Google</translation>
<translation id="2736805085127235148">Kwa sasa arifa za Chrome zimezimwa kwenye mipangilio ya kifaa chako.</translation>
<translation id="2767464022270041271">Hakuna manenosiri yaliyohifadhiwa. Kidhibiti cha Manenosiri cha Google kinaweza kukagua manenosiri yako unapoyahifadhi.</translation>
<translation id="2788811701191021538">Hufungua ukurasa wa mipangilio ya njia za kulipa kwenye Chrome.</translation>
<translation id="2876628302275096482">Pata maelezo zaidi kuhusu <ph name="BEGIN_LINK" />jinsi Chrome inavyoweka data yako kuwa ya faragha<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="288992067439702510">Umefikia kikomo cha Google Chrome cha alamisho <ph name="LIMIT" />, kwa hivyo baadhi ya alamisho zako bado hazijahifadhiwa kwenye Akaunti yako ya Google.

Huwezi kuhifadhi alamisho mpya kwenye akaunti yako hadi ufute baadhi ya alamisho. Ukiondoka kwenye akaunti sasa, alamisho ambazo hazijahifadhiwa zitafutwa.</translation>
<translation id="2901621928549457170">Fungua Chrome papo hapo ukiwa kwenye iPad yako</translation>
<translation id="2922914028977213693">Gusa hapa ili unufaike zaidi na Chrome kwenye iPad yako.</translation>
<translation id="292371311537977079">Mipangilio ya Chrome</translation>
<translation id="2923827943290349720">Funga vichupo Fiche unapofunga Chrome</translation>
<translation id="2940565985148833945">Kidokezo cha Chrome: Tafuta kwa kutumia Lenzi</translation>
<translation id="2957447865124070833">Chagua <ph name="BEGIN_BOLD" />Chrome<ph name="END_BOLD" /></translation>
<translation id="2986402782150919988">Weka alamisho kwenye Chrome</translation>
<translation id="3027236223714901838">Ili udumishe usalama wa funguo zako za siri, utahitaji kwanza kuweka PIN ya kurejesha akaunti.

        Funguo za siri huhifadhiwa kwenye Kidhibiti cha Manenosiri cha Google, hali inayokuwezesha uzitumie kwenye Chrome katika kifaa chochote.</translation>
<translation id="3030414234702425231">Kwa sababu unaondoka kwenye akaunti inayodhibitiwa na <ph name="SIGNOUT_MANAGED_DOMAIN" />, data yako ya Chrome itafutwa kwenye kifaa hiki, lakini itasalia katika Akaunti yako ya Google.</translation>
<translation id="3042447686908081308">Pakia kwenye Chrome</translation>
<translation id="3051521853355903257">Kudhibiti manenosiri kwenye Chrome</translation>
<translation id="309672519329227863">Fikia manenosiri yako ya Chrome na zaidi kwenye programu zingine.</translation>
<translation id="3109170945534582468">Vitendo vya Chrome</translation>
<translation id="3140589780564632473">Tafuta vipengele vinavyoonekana kwenye Chrome</translation>
<translation id="314782365035065913">Kufikia Chrome kwa haraka zaidi katika sehemu iliyopachikwa kwenye skrini ya kwanza</translation>
<translation id="3167189358072330585">Akaunti yako haifanyi kazi kwenye Google Chrome. Tafadhali wasiliana na msimamizi wako wa kikoa au utumie Akaunti yako ya kawaida ya Google kuingia.</translation>
<translation id="322254490661677575">Ili utumie na uhifadhi data ya Chrome kwenye Akaunti yako ya Google, weka kauli yako ya siri.</translation>
<translation id="3303503998967553377">Tumia kipengele cha vitendo vya Chrome kwenye iOS</translation>
<translation id="3348862487678490430">Weka kipengele cha orodha ya kusoma kwenye Chrome</translation>
<translation id="3350281376951945723">Fungua viungo kwa haraka zaidi unapoweka Chrome kuwa kivinjari chaguomsingi</translation>
<translation id="3357827134511189025">Ingia katika akaunti ukitumia funguo za siri na manenosiri kwenye programu yoyote ukitumia Chrome ili Ujaze kiotomatiki</translation>
<translation id="3360031466389132716">{THRESHOLD,plural, =1{Hali hii hutokea wakati hujatumia Chrome kwa dakika {THRESHOLD}}other{Hali hii hutokea wakati hujatumia Chrome kwa dakika {THRESHOLD}}}</translation>
<translation id="3367797402528056312">Maliza kuweka mipangilio ya Chrome</translation>
<translation id="3371064404604898522">Ifanye Chrome iwe kivinjari chaguomsingi</translation>
<translation id="3399930248910934354">Fungua Mipangilio ya Chrome</translation>
<translation id="3440830787838130530">Tuma nakala ya nenosiri kwenye kikundi cha familia yako kwa njia salama na rahisi katika Kidhibiti cha Manenosiri cha Google</translation>
<translation id="3460369101684070455">Ili upate manenosiri uliyohifadhi kwa urahisi katika programu yako nyingine, chagua Chrome ili Ujaze Kiotomatiki</translation>
<translation id="3472587960215700950">Chrome hutumia Ramani za Google kukupatia maelekezo na maelezo ya eneo husika kwenye anwani zilizotambuliwa.</translation>
<translation id="3482807551645716768">Fikia Chrome kwa haraka zaidi katika Skrini ya Kwanza ya iPad yako.</translation>
<translation id="3491067552520121605">Tayari una manenosiri au funguo za siri katika Kidhibiti cha Manenosiri cha Google kwenye tovuti zilizoonyeshwa. Chagua akaunti ili uhifadhi maelezo ya kuingia katika akaunti yanayoonyeshwa, ukibadilisha yaliyo kwenye Kidhibiti cha Manenosiri cha Google.</translation>
<translation id="3503014945441706099">Pia, pata Kipengele cha Kuvinjari Salama Kilichoboreshwa kwenye wasifu huu wa Chrome</translation>
<translation id="3522659714780527202">Ili uone vichupo vyako kwenye kifaa chochote unakotumia Chrome, washa kipengele cha kusawazisha</translation>
<translation id="364480321352456989">Toleo lako la Chrome limepitwa na wakati.</translation>
<translation id="3646736009628185125">Mwanafamilia hawezi kupokea manenosiri sasa hivi. Mwambie asasishe Chrome na asawazishe manenosiri yake. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="3655656110921623717">Hii inamaanisha kwamba Chrome itahitaji tovuti ya kifaa cha mkononi kila wakati.</translation>
<translation id="3740397331642243698">Hufungua URL zilizowekwa kwenye Google Chrome katika Hali Fiche.</translation>
<translation id="3741995255368156336">Hufungua Orodha ya Kusoma ya Chrome.</translation>
<translation id="3827545470516145620">Unapata ulinzi wa kawaida kwenye kifaa hiki</translation>
<translation id="384394811301901750">Google Chrome haiwezi kutumia kamera hivi sasa</translation>
<translation id="3863841106411295595">Huweka URL zilizowekwa kwenye orodha yako ya kusoma katika Chrome.</translation>
<translation id="3878515067127964393">Epuka kunakili. Weka Chrome iwe kivinjari chako chaguomsingi katika iOS.</translation>
<translation id="3901001113120561395">Nufaika zaidi na Chrome.</translation>
<translation id="3913386780052199712">Umeingia katika akaunti kwenye Chrome</translation>
<translation id="3913747277937572860">Fanya Chrome iwe kivinjari chako chaguomsingi na ufungue maudhui ya wavuti kiotomatiki.</translation>
<translation id="3984746313391923992">Shirika lako linahitaji usiingie katika akaunti kwenye Chrome.</translation>
<translation id="3988789688219830639">Google Chrome haina uwezo wa kufikia picha au video zako. Washa ufikiaji katika Mipangilio ya iOS &gt; Faragha &gt; Picha.</translation>
<translation id="4064699917955374540">Ili utumie na uhifadhi data ya Chrome kwenye Akaunti yako ya Google, thibitisha kuwa ni wewe.</translation>
<translation id="411154422556990518">Pata arifa za taarifa za ufuatiliaji wa bei pamoja na vidokezo vya Chrome.</translation>
<translation id="417201473131094001">Haitumiki kwenye Chrome Canary (toleo la jaribio)</translation>
<translation id="424864128008805179">Ungependa kuondoka kwenye Chrome?</translation>
<translation id="4314240881330431451">Unaweza kutumia Lenzi ya Google kwenye Chrome kutafuta chochote unachokiona</translation>
<translation id="4409545895715116037">Funguo zifuatazo za siri hazikuhamishiwa kwenye Kidhibiti cha Manenosiri cha Google, kwa sababu hazitimizi masharti.</translation>
<translation id="4430797724889237570">Fungua viungo kwenye Gmail, Ramani, YouTube na programu nyingine katika Chrome</translation>
<translation id="447252321002412580">Tusaidie tuboreshe utendaji na vipengele vya Chrome</translation>
<translation id="4523886039239821078">Baadhi ya programu jalizi husababisha Chrome iache kufanya kazi. Tafadhali ondoa:</translation>
<translation id="4568024439284012497">Fikia Chrome kwa haraka zaidi katika Skrini ya Kwanza ya iPhone yako.</translation>
<translation id="4574806550936185355">Washa "Funga Vichupo vya faragha unapofunga Chrome"</translation>
<translation id="4633328489441962921">Chrome imeshindwa kukagua kama kuna masasisho</translation>
<translation id="4636900170638246267">Ingia katika akaunti kwenye tovuti hii na kwenye Chrome.</translation>
<translation id="4647910807533196601">Fungua Kichupo changu kipya zaidi kwenye Chrome.</translation>
<translation id="4693084815234024320">Unatumia Chrome katika hali ya Faraghani</translation>
<translation id="4713740144985377441">Rudi kwenye Chrome ili upakie faili yako</translation>
<translation id="4724297637870447613">Tumia Chrome kila mahali</translation>
<translation id="4738647308035481133">Ukurasa wa Google Chrome</translation>
<translation id="4742795653798179840">Umefuta data ya Chrome</translation>
<translation id="4761869838909035636">Fanya Ukaguzi wa Usalama kwenye Chrome</translation>
<translation id="4798859546468762093">Ili upate mapendeleo na vipengele vingine, jumuisha Chrome kwenye <ph name="FEATURE_NAME_1" /> pamoja na <ph name="FEATURE_NAME_2" /></translation>
<translation id="4819268619367838612">Ili kusaidia kuboresha programu, Chrome hutuma takwimu ya matumizi na ripoti ya kuacha kufanya kazi kwenda Google. <ph name="BEGIN_LINK" />Dhibiti<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="4830799082179398588">Je ungependa kufanya Chrome iwe kivinjari chako chaguomsingi?</translation>
<translation id="484033449593719797">Haitumiki kwenye toleo la Beta la Chrome</translation>
<translation id="4840404732697892756">Kidhibiti cha Manenosiri cha Google kinaweza kukagua manenosiri yako unapoingia kwa kutumia Akaunti yako ya Google.</translation>
<translation id="4903674399067644695">Kadi hii hukuonyesha mapendekezo ya jinsi ya kunufaika zaidi na Chrome.</translation>
<translation id="49200511069271369">Shirika lako, <ph name="DOMAIN" />, linasimamia akaunti uliyotumia kuingia na jinsi Chrome inavyotumika. Msimamizi wako anaweza kuweka mipangilio au kuzuia vipengele kadhaa.</translation>
<translation id="4925322001044117929">Kutumia Chrome kwenye iPad kwa Chaguomsingi</translation>
<translation id="496747131578053942">Kidokezo cha Chrome: Tafuta unachokiona ukitumia Lenzi ya Google</translation>
<translation id="498985224078955265">Ili utume kichupo hiki kwenye kifaa kingine, ingia katika akaunti kwenye Chrome katika vifaa vyote viwili.</translation>
<translation id="5030102366287574140">Chrome inaweza kukusaidia ulinde akaunti yako dhidi ya ufichuzi haramu wa data, tovuti ambazo si salama na zaidi.</translation>
<translation id="5109169629909011627">Angalia alamisho za Chrome</translation>
<translation id="5112925986883715005">Angalia Orodha ya Kusoma ya Chrome</translation>
<translation id="5116239826668864748">Unaweza kutumia Chrome wakati wowote unapogusa viungo kwenye ujumbe, hati na programu zingine</translation>
<translation id="5119391094379141756">Chagua Chrome</translation>
<translation id="5123188916260706415">Tafuta ukitumia sauti kwenye Chrome</translation>
<translation id="5162467219239570114">Toleo hili la Chrome limepitwa na wakati. Iwapo hakuna sasisho kwenye <ph name="BEGIN_LINK" />App Store<ph name="END_LINK" />, kuna uwezekano kuwa kifaa chako hakitumii tena matoleo mapya ya Chrome.</translation>
<translation id="5172049865623113551">Fungua Chrome papo hapo ukiwa kwenye iPhone yako</translation>
<translation id="5179095426828744632">Fikia Chrome kwa haraka zaidi katika sehemu yako ya kupachika</translation>
<translation id="5184329579814168207">Fungulia katika Chrome</translation>
<translation id="5190139289262548459">Shirika lako, <ph name="DOMAIN" />, linasimamia akaunti uliyotumia kuingia na jinsi Chrome inavyotumika.</translation>
<translation id="5209238444239954363">Chrome imeshindwa kuangalia iwapo kuna masasisho. Jaribu tena baadaye.</translation>
<translation id="5305440589062022504">Hufungua Kidhibiti cha Manenosiri kwenye Chrome</translation>
<translation id="5310957470610282541">Baadhi ya data yako ya Chrome bado haijahifadhiwa kwenye Akaunti yako ya Google.
Jaribu kusubiri kwa dakika chache kabla ya kuondoka kwenye akaunti. Ukiondoka kwenye akaunti sasa, data hii itafutwa.</translation>
<translation id="5342685492141499976">Data yako itahifadhiwa kwenye Kidhibiti cha Manenosiri cha Google cha <ph name="USER_EMAIL" /></translation>
<translation id="5389212809648216794">Google Chrome imeshindwa kutumia kamera yako kwa sababu inatumiwa na programu nyingine</translation>
<translation id="5395376160638294582">Hakikisha kuwa unaweza kutumia data ya Chrome katika Akaunti yako ya Google kila wakati</translation>
<translation id="5404252374083197467">Ungependa kuweka Chrome iwe kivinjari chaguomsingi?</translation>
<translation id="5439191312780166229">Hukutahadharisha kuhusu tovuti hatari, hata zile ambazo hazikutambuliwa na Google hapo awali, kwa kuchambua data zaidi kutoka kwenye tovuti kuliko ulinzi wa kawaida. Unaweza kuchagua kuruka tahadhari za Chrome.</translation>
<translation id="5453077102022695084">Video ya skrini nzima ya jinsi ya kuweka Chrome iwe kivinjari chaguomsingi</translation>
<translation id="5460571915754665838">4. Chagua Chrome</translation>
<translation id="5492504007368565877">Kidhibiti cha Manenosiri cha Google kimeshindwa kukagua manenosiri yako.</translation>
<translation id="5525095647255982834">Ili utume kichupo hiki kwenye kifaa kingine, ingia katika akaunti kwenye Chrome katika kifaa hicho.</translation>
<translation id="5527026824954593399">Gusa “Angalia kwa kutumia Ramani za Google kwenye Chrome.”</translation>
<translation id="5552137475244467770">Chrome hukagua mara kwa mara manenosiri yako ikilinganisha na orodha ambazo zimechapishwa mtandaoni. Wakati inafanya hivyo, manenosiri na majina yako ya mtumiaji huwa yamesimbwa kwa njia fiche, kwa hivyo hayawezi kusomwa na mtu mwingine, ikiwemo Google.</translation>
<translation id="5554520618550346933">Unapotumia nenosiri, Chrome hukutahadharisha iwapo limechapishwa mtandaoni. Wakati inafanya hivyo, manenosiri na majina yako ya mtumiaji huwa yamesimbwa kwa njia fiche, kwa hivyo hayawezi kusomwa na mtu mwingine, ikiwemo Google.</translation>
<translation id="5601180634394228718">Kwa mipangilio zaidi inayotumia data kuboresha hali yako ya utumiaji wa Chrome, nenda kwenye <ph name="BEGIN_LINK" />Huduma za Google<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="5639704535586432836">Fungua Mipangilio &gt; Faragha &gt; Kamera &gt; Google Chrome na uwashe kamera.</translation>
<translation id="5642200033778930880">Google Chrome imeshindwa kutumia kamera yako katika hali ya Mwonekano wa Madirisha Mawili</translation>
<translation id="5661521615548540542">Kidhibiti cha Manenosiri cha Google hakikuweza kukagua manenosiri yote. Jaribu tena baadaye.</translation>
<translation id="5681291952421236520">Washa kipengele cha kujaza kiotomatiki kwenye Chrome</translation>
<translation id="5690398455483874150">{count,plural, =1{Sasa inaonyesha dirisha moja la Chrome}other{Sasa inaonyesha madirisha {count} ya Chrome}}</translation>
<translation id="5690427481109656848">Google LLC</translation>
<translation id="5709557627224531708">Weka Chrome iwe kivinjari chako chaguomsingi</translation>
<translation id="571296537125272375">Nje ya mtandao, Chrome imeshindwa kukagua kama kuna masasisho</translation>
<translation id="5716154293141027663">Tumia Chrome kufungua viungo vyovyote unavyogusa katika programu zingine</translation>
<translation id="5752489513673657785">Mipasho maalum uliyoandaliwa na Google</translation>
<translation id="5772407442571703917">Pakua Chrome hapa.</translation>
<translation id="5777468213129569553">Fungua Chrome</translation>
<translation id="5779767936254214055">Funga Vichupo vyako vya faragha unapoondoka kwenye Chrome au kubadilisha utumie programu tofauti.</translation>
<translation id="5808435672482059465">Angalia Historia Yako ya Chrome</translation>
<translation id="5833027901704861726">Baadhi ya data yako ya Chrome bado haijahifadhiwa kwenye <ph name="EMAIL" />.
Jaribu kusubiri dakika chache kabla ya kubadilisha akaunti. Ukibadilisha akaunti sasa, data hii itafutwa.</translation>
<translation id="5853754888722423892">Pakia kwenye Kidhibiti cha Manenosiri cha Google</translation>
<translation id="5998675059699164418">Shirika lako linahitaji uingie katika akaunti ili uweze kutumia Chrome.</translation>
<translation id="6021312115739110405">Mipasho maalum uliyoandaliwa na Google. Ikiwa ni pamoja na habari, spoti na hali ya hewa.</translation>
<translation id="6022659036123304283">Weka mapendeleo kwenye Chrome iwe unavyopenda</translation>
<translation id="6132075343662013154">Chrome itakuomba kuhifadhi nenosiri lako</translation>
<translation id="6132149203299792222">Ingia katika akaunti ukitumia Akaunti yako ya Google ili usawazishe manenosiri yako, alamisho na zaidi.</translation>
<translation id="6145223986912084844">chrome</translation>
<translation id="6177442314419606057">Tafuta katika Chrome</translation>
<translation id="6181652351336379338">Tafuta vipengele vinavyoonekana kwenye Chrome.</translation>
<translation id="6187085551300363958">Kidokezo cha Chrome: Hifadhi Manenosiri</translation>
<translation id="6200694931081795166">Ili ufanye Chrome iwe kivinjari chako chaguomsingi:
1. Fungua Mipangilio
  2. Gusa Programu ya Kivinjari Chaguomsingi
  3. Chagua Chrome</translation>
<translation id="6238746320622508509">Ruhusu Chrome ifunge vichupo vyako Fiche.</translation>
<translation id="6247557882553405851">Kidhibiti cha Manenosiri cha Google</translation>
<translation id="6272822675004864999">Ili upokee arifa kutoka Chrome, washa arifa katika Mipangilio yako ya iOS.</translation>
<translation id="6299253454218177732">Kidokezo cha Chrome: Pata manenosiri yako</translation>
<translation id="630693926528731525">Nenosiri lako halikushirikiwa. Kagua muunganisho wako wa intaneti na uhakikishe umeingia katika akaunti ya Chrome. Kisha, jaribu tena.</translation>
<translation id="6348855835728304880">Fikia manenosiri yako ya Chrome na zaidi kwenye programuB nyingine katika kifaa hiki.</translation>
<translation id="6373751563207403289">Kipengele cha Ukaguzi wa Usalama hukulinda dhidi ya ufichuzi haramu wa data, tovuti zisizo salama na zaidi. Pokea arifa kuhusu matatizo yoyote ya faragha au ya usalama ambayo Chrome itatambua kuwa yanakuathiri.</translation>
<translation id="6389317667633680932">Gundua vipengele vipya vinavyokusaidia kupata manufaa zaidi kwenye Chrome.</translation>
<translation id="6412673304250309937">Hukagua URL zilizo na orodha ya tovuti zisizo salama zinazohifadhiwa kwenye Chrome. Iwapo tovuti inajaribu kuiba nenosiri lako au unapopakua faili hatari, Chrome inaweza pia kutuma URL, ikiwa ni pamoja na sehemu za maudhui ya ukurasa, kwenye kipengele cha Kuvinjari Salama.</translation>
<translation id="6427126399757991875">Shirika lako linaweka mipangilio ya Chrome...</translation>
<translation id="6481963882741794338">Unganisha Chrome na huduma nyingine za Google ili upate mapendeleo na madhumuni mengine</translation>
<translation id="6484712497741564393">Umeingia katika akaunti ukitumia <ph name="EMAIL" />.

Data yako imesimbwa kwa njia fiche kwa kutumia kauli yako ya siri. Iweke ili utumie na kuhifadhi data ya Chrome kwenye Akaunti yako ya Google.</translation>
<translation id="6511034852811155835">Tumia Chrome yako popote ulipo</translation>
<translation id="6533470733797826516">Ingia katika akaunti haraka ukitumia kipengele cha kujaza kiotomatiki kwenye Chrome</translation>
<translation id="6536544321553662809">Weka Chrome iwe kivinjari chako chaguomsingi ili utume na ufungue viungo kwa urahisi</translation>
<translation id="6545449117344801102">Chrome hutambua anwani na hutumia huduma ya Ramani za Google kukupatia maelekezo na taarifa za eneo husika.</translation>
<translation id="660537754475262202">Fanya Chrome iwe kivinjari chako chaguomsingi ili ufungue viungo hapa papo hapo.</translation>
<translation id="6611692150236062461">Ili upate kwa urahisi manenosiri uliyohifadhi katika programu nyingine, chagua Chrome ili Ujaze Kiotomatiki.</translation>
<translation id="6636941099779251629">Shirika lako linahitaji uingie katika akaunti ili uweze kutumia Chrome. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="6646696210740573446">Hutuma kwenda Google msimbo uliofumbwa wa sehemu ya URL kupitia seva ya faragha inayoficha anwani yako ya IP. Iwapo tovuti inajaribu kuiba nenosiri lako au unapopakua faili hatari, Chrome inaweza pia kutuma URL, ikiwa ni pamoja na sehemu za maudhui ya ukurasa kwa Google.</translation>
<translation id="6647304104688527905">Hufungua kichupo kipya kwenye Chrome.</translation>
<translation id="6684809838922667136">Boresha Chrome</translation>
<translation id="6695698548122852044">{THRESHOLD,plural, =1{Hali hii hutokea wakati hujatumia Chrome kwa dakika {THRESHOLD}. Data iliyohifadhiwa kwenye kifaa hiki pekee ulipokuwa umeingia katika akaunti itafutwa. Data hii inaweza kujumuisha historia na manenosiri.}other{Hali hii hutokea wakati hujatumia Chrome kwa dakika {THRESHOLD}. Data iliyohifadhiwa kwenye kifaa hiki pekee ulipokuwa umeingia katika akaunti itafutwa. Data hii inaweza kujumuisha historia na manenosiri.}}</translation>
<translation id="6709398533399187136">Nenosiri lako limefichuliwa katika tukio la ufichuzi haramu wa data. Kidhibiti cha Manenosiri cha Google kinapendekeza ulibadilishe sasa hivi.</translation>
<translation id="6820553595690137150">Usimbaji fiche wa kauli ya siri haujumuishi anwani na njia za kulipa.

Ili ubadilishe mipangilio hii, <ph name="BEGIN_LINK" />futa data ya Chrome kwenye akaunti yako<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="6838525730752203626">Tumia Chrome kwa chaguomsingi</translation>
<translation id="6864705365700484754">Gusa hapa ili unufaike zaidi na Chrome kwenye iPhone yako.</translation>
<translation id="686691656039982452">Unaweza <ph name="BEGIN_LINK" />kudhibiti data ya Chrome inayohifadhiwa<ph name="END_LINK" /> katika Akaunti yako ya Google.

Kwa mipangilio zaidi inayotumia data kuboresha hali yako ya utumiaji wa Chrome, nenda kwenye <ph name="BEGIN_LINK" />Huduma za Google<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="6922332667202044570">Futa data ya kuvinjari kwenye Chrome.</translation>
<translation id="6924922227983877439">Fungua viungo katika Chrome kwa Chaguomsingi</translation>
<translation id="6975725306479268850">Chagua Chrome ili Ujaze Kiotomatiki</translation>
<translation id="7001031184470316752">Hamishia Chrome kwenye sehemu yako ya kupachika</translation>
<translation id="7038674195294813388">Fungua mipangilio ya Programu Chaguomsingi katika iOS, kisha uguse "Programu ya Kivinjari" na uchague Chrome.</translation>
<translation id="7056826488869329999">Hufungua na Kufanya Ukaguzi wa Usalama kwenye Chrome.</translation>
<translation id="7061455974939528301">Bonyeza na ushikilie aikoni ya Chrome kisha ubofye "Badilisha skrini ya kwanza"</translation>
<translation id="7095110968493193530">Kwenye Kidhibiti cha Manenosiri cha Google cha <ph name="EMAIL" /></translation>
<translation id="7124339256045485976">Hakikisha Chrome imesasishwa kila wakati</translation>
<translation id="7145599899567697473">Hifadhi na ujaze manenosiri kiotomatiki kwenye Chrome</translation>
<translation id="7161390184744336561">Toleo la Google Chrome limepitwa na wakati</translation>
<translation id="7165736900384873061">Anza kutumia kichanganuzi cha QR cha Google Chrome</translation>
<translation id="7175129790242719365">Kidokezo cha Chrome: Kuingia katika akaunti kwenye Chrome</translation>
<translation id="7187993566681480880">Hulinda usalama wako kwenye Chrome na inaweza kutumiwa kuboresha usalama wako kwenye programu nyingine za Google ukiwa umeingia katika akaunti.</translation>
<translation id="7200524487407690471">Chrome hutekeleza kiotomatiki Ukaguzi wa Usalama kila siku ili kukulinda dhidi ya ufichuzi haramu wa data, tovuti zisizo salama na mengine. Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu Ukaguzi wa Usalama kwenye Mipangilio.</translation>
<translation id="7214019116829172458">Kufungua Kichupo cha faragha kwenye Chrome</translation>
<translation id="722167379782941918">Chrome inapendekeza ulinzi ulioboreshwa</translation>
<translation id="723787869754590019">Tumia Chrome Ili Ujaze kiotomatiki</translation>
<translation id="7261678641327190792">Chrome imeshindwa kukagua manenosiri yako</translation>
<translation id="7272091023280308138">Fungua viungo moja kwa moja kwenye Chrome wakati mwingine bila kunakili URL kwanza.</translation>
<translation id="7272930098487145294">Ili uhifadhi picha, gusa Mipangilio ili uruhusu Chrome iweke kwenye picha zako</translation>
<translation id="7275945473750112644">Akaunti yako inadhibitiwa na <ph name="HOSTED_DOMAIN" />, kwa hivyo data yako ya Chrome itafutwa kwenye kifaa hiki</translation>
<translation id="7284245284340063465">Ikiwa ulisahau kauli yako ya siri au ungependa kubadilisha mipangilio hii, <ph name="BEGIN_LINK" />futa data ya Chrome kwenye akaunti yako<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="7296102444587051536">Chrome mahususi kwa iOS</translation>
<translation id="7299681342915173313">Sasa unaweza kutumia Chrome wakati wowote unapogusa viungo kwenye barua pepe, hati na programu zingine.</translation>
<translation id="7334364820047587268">Tayari una manenosiri ya akaunti hizi katika huduma yako ya Kidhibiti cha Manenosiri cha Google. Ukichagua kupakia mojawapo ya manenosiri yaliyo hapa chini, litatumika badala ya lililopo.</translation>
<translation id="7344094882820374540">Pata usalama thabiti wa Chrome dhidi ya tovuti hatari</translation>
<translation id="7349129508108954623">Iruhusu Chrome kutumia Ramani za Google kukupa maelekezo na maelezo ya eneo kwenye anwani zilizotambuliwa.</translation>
<translation id="7371674917547846460">Pata arifa za vidokezo muhimu vya Chrome na zaidi.</translation>
<translation id="7394108421562933108">Ramani katika Chrome</translation>
<translation id="7400722733683201933">Kuhusu Google Chrome</translation>
<translation id="7444830584401232881">Ufunguo huu wa siri utahifadhiwa kwenye Kidhibiti cha Manenosiri cha Google cha <ph name="USER_EMAIL" /></translation>
<translation id="7466693328838535498">Kwenye kisanduku cha Wijeti za Utafutaji, weka Chrome</translation>
<translation id="7477056987201678345">Inafuta data ya Chrome…</translation>
<translation id="7492574581995589075">Shirika lako limezima kipengele cha kutumia na kuhifadhi data ya Chrome kwenye Akaunti yako ya Google. Alamisho, manenosiri mapya na zaidi yatahifadhiwa tu katika kifaa hiki.</translation>
<translation id="752120807649195785">Weka Chrome iwe kivinjari chaguomsingi ili ufungue viungo kwa kugusa mara moja badala ya kuvinakili.</translation>
<translation id="7540272326042438331">Tuma Chrome</translation>
<translation id="7575971113404272499">Kidokezo cha Chrome: Kutumia Chrome kwa chaguomsingi</translation>
<translation id="7581063337314642333">Tembelea Gridi ya Kichupo kwenye Chrome</translation>
<translation id="7599894504325210080">Mwonekano uliopanuliwa wa Kipengele cha Kujaza Kiotomatiki cha Chrome</translation>
<translation id="7617512710641355143">Chrome inadhibitiwa</translation>
<translation id="7626032353295482388">Karibu kwenye Chrome</translation>
<translation id="7634397654061173327">Ili upate vipengele vya usalama kwa watoto kwenye Chrome, unaweza kutumia Akaunti ya Google iliyowekewa mipangilio ili itumiwe na mtoto au utumie Chrome bila kuingia katika akaunti.</translation>
<translation id="7641448682796883218">Kidokezo cha Chrome: Kipengele cha Kuvinjari Salama Kilichoboreshwa</translation>
<translation id="7642373780953416937">Pokea arifa kuhusu matatizo yoyote ya faragha au ya usalama ambayo Chrome itatambua kiotomatiki kuwa yanakuathiri.</translation>
<translation id="7660356333829433649">Angalia hapa tena ili upate vidokezo muhimu zaidi na unufaike zaidi kutokana na Chrome.</translation>
<translation id="7662994914830945754">Ili uone vichupo vyako kwenye kifaa chochote unakotumia Chrome, ingia katika akaunti na uwashe kipengele cha kusawazisha</translation>
<translation id="7693590760643069321">Sasa unaweza kutumia Chrome wakati wowote unapogusa viungo kwenye ujumbe, hati na programu zingine.</translation>
<translation id="7698568245838009292">Chrome Inataka Kufikia Kamera</translation>
<translation id="7707877166818730835">Fungua Kichupo changu kipya kwenye Chrome</translation>
<translation id="7747746207470479571">Pata uwezo wa kufikia funguo za siri na manenosiri yako kwa urahisi ukitumia Chrome ili Ujaze Kiotomatiki</translation>
<translation id="776305366874821582">Fikia Chrome kwa haraka zaidi katika sehemu iliyopachikwa kwenye skrini ya kwanza ya iPhone yako.</translation>
<translation id="7780154209050837198">Ili unufaike zaidi na Chrome, ingia kwenye Chrome ukitumia Akaunti yako ya Google.</translation>
<translation id="7787205077729386167">Fungua mipangilio ya Chrome kwenye iOS, kisha uguse "Programu Chaguomsingi ya Kivinjari" kisha uchague Chrome.</translation>
<translation id="778855399387580014">Anza kutafuta ukitumia kichupo kipya cha Chrome.</translation>
<translation id="7792140019572081272">Chrome huweka data yako nyeti salama kwa kutumia Face ID.</translation>
<translation id="7855730255114109580">Google Chrome imesasishwa</translation>
<translation id="787226752901403048">Ingia katika akaunti ya Chrome ili uweze kuruhusu ufikiaji na ujiunge kwenye vikundi vya vichupo na kushirikiana kwenye mawazo</translation>
<translation id="7897703007638178753">Angalia Vichupo vya Hivi Karibuni kwenye Chrome</translation>
<translation id="7948283758957877064">Mapya katika Chrome</translation>
<translation id="8000174216052461231">Kidokezo cha Chrome: Pata ulinzi thabiti zaidi wa Chrome</translation>
<translation id="8006014511203279255">Tumia Chrome wakati wowote unapogusa viungo kwenye ujumbe au programu zingine.</translation>
<translation id="8014670471808569312">Chromium itakuomba kuhifadhi nenosiri lako.</translation>
<translation id="8018153653741938705">Kuwa salama ukitumia Google Chrome</translation>
<translation id="8022947259858476807">Tumia Chrome kwa chaguomsingi kufungua viungo, kutafuta kwenye wijeti na kujaza manenosiri kiotomatiki katika programu zingine</translation>
<translation id="804638182476029347">Ruhusu arifa za Chrome ili upate arifa kuhusu kupungua kwa bei</translation>
<translation id="8065292699993359127">Fungua URL kwenye Chrome katika Hali Fiche</translation>
<translation id="8069507567842347179">Kifurushi hiki tayari kimefuatiliwa kwenye Chrome.</translation>
<translation id="8136856065410661948">Hii itatumika kuunda matukio kwenye Kalenda yako ya Apple kutoka kwenye Chrome na Lenzi ya Google.</translation>
<translation id="8154120522323162874">Nufaika zaidi na Chrome kwa kuendelea kuweka mipangilio ya kivinjari chako.</translation>
<translation id="8160472928944011082">Imeshindwa kusasisha Chrome</translation>
<translation id="8213550501565480896">Weka Chrome iwe kivinjari chaguomsingi</translation>
<translation id="8245080522851805544">Weka hali yako ya kuvinjari iwe ya faragha ukitumia uthibitishaji wa kifaa unapofunga Chrome</translation>
<translation id="8248887045858762645">Kidokezo cha Chrome</translation>
<translation id="8265730590513812063">Fungua menyu ya Chrome</translation>
<translation id="8276803169904409881">Weka Chrome iwe kivinjari chaguomsingi ili ufungue viungo papo hapo kutoka kwenye programu nyingine.</translation>
<translation id="8284376267694582021">Ili upate vipengele vya usalama kwa watoto, unaweza kutumia Akaunti ya Google iliyowekewa mipangilio ili itumiwe na mtoto au utumie Chrome bila kuingia katika akaunti. <ph name="BEGIN_LINK" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="8317674518145175158">Njia za kulipa na anwani hazitasimbwa kwa njia fiche. Historia ya kuvinjari kwenye Chrome haitasawazishwa.

Mtu aliye na kauli yako ya siri pekee ndiye anaweza kusoma data yako iliyosimbwa kwa njia fiche. Kauli ya siri haitumwi kwa au kuhifadhiwa na Google. Ukisahau kauli yako ya siri au ukitaka kubadilisha mipangilio hii, <ph name="BEGIN_LINK" />futa data ya Chrome kwenye akaunti yako<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="8370517070665726704">Hakimiliki <ph name="YEAR" /> Google LLC. Haki zote zimehifadhiwa.</translation>
<translation id="8371138994040262994">Hufungua mipangilio kwenye Chrome.</translation>
<translation id="8387459386171870978">Endelea kutumia Chrome</translation>
<translation id="8392023217086447677">Viungo vimefunguliwa Faraghani kwenye Chrome</translation>
<translation id="840168496893712993">Baadhi ya programu jalizi husababisha Chrome iache kufanya kazi. Tafadhali jaribu kuzisanidua.</translation>
<translation id="8413500425974960807">Kidokezo cha Chrome: Weka Chrome katika sehemu iliyopachikwa</translation>
<translation id="8413795581997394485">Hukulinda dhidi ya tovuti, vipakuliwa na viendelezi vinavyojulikana kuwa hatari. Unapotembelea tovuti, Chrome hutuma kwenda Google msimbo uliofumbwa wa sehemu ya URL kupitia seva ya faragha inayoficha anwani yako ya IP. Iwapo tovuti itafanya kitu cha kutiliwa shaka, URL kamili na sehemu za maudhui ya ukurasa pia zitatumwa.</translation>
<translation id="8447479329557998927">Chrome hutumia Ramani za Google kukupatia maelekezo na maelezo ya eneo husika kwenye viungo vya ramani</translation>
<translation id="84594714173170813">Endelea kutumia data ya Chrome katika Akaunti yako ya Google</translation>
<translation id="8491300088149538575">Umeingia katika akaunti ukitumia <ph name="EMAIL" />.

Data yako ilisimbwa kwa njia fiche kwa kutumia kauli ya siri <ph name="TIME" />. Iweke ili utumie na kuhifadhi data ya Chrome kwenye Akaunti yako ya Google.</translation>
<translation id="8540666473246803645">Google Chrome</translation>
<translation id="8544583291890527417">Arifa kuhusu matatizo yoyote ya faragha au ya usalama ambayo Chrome itatambua kuwa yanakuathiri.</translation>
<translation id="855027533751209304">Kidokezo cha Chrome: Tafuta unachokiona</translation>
<translation id="8558480467877843976">Sasa unaweza kutumia Chrome wakati wowote unapovinjari au kugusa viungo kwenye ujumbe, hati na programu nyingine.</translation>
<translation id="8603022514504485810">Kidhibiti cha Manenosiri cha Google hakikuweza kukagua manenosiri yote. Jaribu tena kesho au <ph name="BEGIN_LINK" />kagua manenosiri katika Akaunti yako ya Google.<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="8610372330814566250">Tumia manenosiri, historia, alamisho na kadi zako za mikopo za Safari kwenye Chrome</translation>
<translation id="8630122478628016441">Washa kipengele cha “Funga Vichupo vya Faragha unapofunga Chrome.”</translation>
<translation id="8673726683583791503">Kununua ukitumia Lenzi ya Google</translation>
<translation id="8765470054473112089">Unapoandika kwenye sehemu ya anwani au kisanduku cha kutafutia, Chrome hutuma unachokiandika kwenye mtambo wako chaguomsingi wa kutafuta ili upate mapendekezo bora. Kipengele hiki huwa kimezimwa katika Hali fiche.</translation>
<translation id="8772179140489533211">Huonyesha vidokezo vya kuingia katika akaunti kwenye Chrome.</translation>
<translation id="8788269841521769222">Hutahitaji kukumbuka nenosiri hili. Litahifadhiwa kwenye Kidhibiti cha Manenosiri cha Google kwa ajili ya <ph name="EMAIL" /></translation>
<translation id="8796490717897731471"><ph name="EMAIL" />. Chrome inadhibitiwa.</translation>
<translation id="880967149107462122">Nenda kwenye Mipangilio ya Chrome</translation>
<translation id="8840947648682778034">Mandhari ya Chrome kwenye iPhone na iPad</translation>
<translation id="8842132678697187091">Unaweza kufungua Lenzi ya Google hapa.</translation>
<translation id="8850736900032787670">Ili upokee maudhui yaliyowekewa mapendeleo kulingana na mambo yanayokuvutia, ingia katika akaunti kwenye Chrome.</translation>
<translation id="8855781063981781621">Ili kuzima Hali ya Kufunga katika Chrome, izime kwenye iPad yako.</translation>
<translation id="8857676124663337448">Kidhibiti cha Manenosiri cha Google hakikuweza kukagua manenosiri yote. Jaribu tena kesho.</translation>
<translation id="8865415417596392024">Data ya Chrome kwenye akaunti yako</translation>
<translation id="8874688701962049679">Vidokezo vya kunufaika zaidi kwenye Chrome.</translation>
<translation id="8897749957032330183">Manenosiri huhifadhiwa kwenye Kidhibiti cha Manenosiri cha Google katika kifaa hiki.</translation>
<translation id="898288749595466683">Acha kunakili URL. Weka Chrome iwe kivinjari chaguomsingi ili upakie kurasa moja kwa moja.</translation>
<translation id="9004772704776174843">Umeondoka katika akaunti kwenye Chrome</translation>
<translation id="9068336935206019333">Fungua katika hali fiche ya Chrome</translation>
<translation id="9082304295862405388">Gemini inaweza kutumia eneo mahususi uliko, kulingana na ruhusa ambazo tayari umeipa Chrome</translation>
<translation id="909127538042363610">Pata Usalama Thabiti Zaidi Kutoka Chrome</translation>
<translation id="9113725809421872108">Thibitisha kuwa ni wewe ili uhifadhi nenosiri hili na upate data ya Chrome kwenye vifaa vyako vyote</translation>
<translation id="9122931302567044771">Hii inamaanisha kwamba Chrome itahitaji tovuti ya kompyuta kila wakati.</translation>
<translation id="9176561303811134420">Kudhibiti njia za kulipa kwenye Chrome</translation>
<translation id="9181628561061032322">Hufungua Vichupo vya Hivi Karibuni kwenye Chrome.</translation>
<translation id="924447568950697217">Fanya Chrome iwe kivinjari chako chaguomsingi</translation>
<translation id="948597495737267756">Hufungua ukurasa wa Historia yako kwenye Chrome.</translation>
<translation id="954347330803595209">Pakia data yako ili utumie manenosiri, historia, alamisho na kadi zako za mikopo kwenye Chrome</translation>
<translation id="97300214378190234">Tumia Chrome wakati wowote unapogusa viungo kwenye programu zingine.</translation>
<translation id="997929539742564806">Ingia katika programu na tovuti kwa haraka kwa kujaza kiotomatiki funguo za siri na manenosiri yako kwenye Chrome</translation>
<translation id="998677222109959694">Dhibiti mipangilio ya Chrome</translation>
</translationbundle>