<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1184166532603925201">Ukiwa katika Hali ya kutumia faraghani, Chrome huzuia tovuti zisitumie vidakuzi vya washirika wengine</translation>
<translation id="1569440020357229235">Ukiwa katika Hali ya kutumia faraghani, tovuti haziwezi kutumia vidakuzi vya washirika wengine. Ikiwa tovuti inayotegemea vidakuzi hivi haifanyi kazi, unaweza <ph name="BEGIN_LINK" />kujaribu kuipa tovuti hiyo idhini ya kufikia vidakuzi vya washirika wengine kwa muda mfupi<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="2004697686368036666">Huenda vipengele kwenye baadhi ya tovuti visifanye kazi</translation>
<translation id="2183376768278472507">Unaweza kujaribu kuruhusu vidakuzi vya washirika wengine katika tovuti mahususi unayotembelea iwapo tovuti haifanyi kazi inavyotarajiwa</translation>
<translation id="2235344399760031203">Vidakuzi vya washirika wengine vimezuiwa</translation>
<translation id="2496115946829713659">Tovuti zinaweza kutumia vidakuzi vya washirika wengine kuweka mapendeleo kwenye matangazo na maudhui pamoja na kujifunza kuhusu vitendo unavyotekeleza kwenye tovuti nyingine</translation>
<translation id="3045333309254072201">Ukiwa katika Hali ya kutumia faraghani, tovuti haziwezi kutumia vidakuzi vya washirika wengine. Ikiwa tovuti inayotegemea vidakuzi hivi haifanyi kazi, unaweza <ph name="START_LINK" />kujaribu kuipa tovuti hiyo idhini ya kufikia vidakuzi vya washirika wengine kwa muda mfupi<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="3425311689852411591">Tovuti zinazotegemea vidakuzi vya washirika wengine zinapaswa kufanya kazi inavyotarajiwa</translation>
<translation id="3624583033347146597">Chagua mapendeleo yako ya kidakuzi cha mshirika mwingine</translation>
<translation id="3918378745482005425">Huenda baadhi ya vipengele visifanye kazi. Tovuti zinazohusiana bado zinaweza kutumia vidakuzi vya washirika wengine.</translation>
<translation id="4278390842282768270">Umeruhusu</translation>
<translation id="4412992751769744546">Ruhusu vidakuzi vya washirika wengine</translation>
<translation id="4711259472133554310">Unaweza kuanzisha hali zisizofuata kanuni katika Mipangilio ili kuruhusu kila wakati tovuti mahususi zitumie vidakuzi vya washirika wengine</translation>
<translation id="5117284457376555514">Tovuti haziwezi kutumia vidakuzi vya washirika wengine kuweka mapendeleo kwenye matangazo na maudhui pamoja na kujifunza kuhusu vitendo unavyotekeleza kwenye tovuti nyingine, isipokuwa uruhusu vifikiwe na tovuti zinazohusiana. Huenda baadhi ya vipengele visifanye kazi inavyotarajiwa.</translation>
<translation id="5677928146339483299">Umezuia</translation>
<translation id="6196640612572343990">Zuia vidakuzi vya washirika wengine</translation>
<translation id="6308169245546905162">Tovuti zinaweza kutumia vidakuzi vya washirika wengine kujifunza kuhusu vitendo unavyotekeleza kwenye tovuti nyingine</translation>
<translation id="6710025070089118043">Tovuti haziwezi kutumia vidakuzi vya washirika wengine kuweka mapendeleo kwenye matangazo na maudhui pamoja na kujifunza kuhusu vitendo unavyotekeleza kwenye tovuti nyingine, isipokuwa uruhusu vifikiwe na tovuti zinazohusiana</translation>
<translation id="7315780377187123731">Maelezo zaidi kuhusu chaguo la Zuia vidakuzi vya washirika wengine</translation>
<translation id="7374493521304367420">Bado tovuti zinaweza kutumia vidakuzi kuona shughuli za kuvinjari kwenye tovuti zao</translation>
<translation id="7453144832830554937">Huenda vipengele vya tovuti vinavyotegemea vidakuzi vya washirika wengine visifanye kazi</translation>
<translation id="7538480403395139206">Maelezo zaidi kuhusu chaguo la Ruhusu vidakuzi vya washirika wengine</translation>
<translation id="8200078544056087897">Vipengele vya tovuti vinavyotegemea vidakuzi vya washirika wengine vinapaswa kufanya kazi inavyotarajiwa</translation>
<translation id="839994149685752920">Tovuti zinaweza kutumia vidakuzi vya washirika wengine kuweka mapendeleo kwenye matangazo na maudhui</translation>
<translation id="9039924186462989565">Chromium huzuia tovuti zisitumie vidakuzi vya washirika wengine unapoitumia faraghani</translation>
<translation id="9162335340010958530">Tovuti haziwezi kutumia vidakuzi vya washirika wengine kuweka mapendeleo kwenye matangazo na maudhui pamoja na kujifunza kuhusu vitendo unavyotekeleza kwenye tovuti nyingine, isipokuwa uruhusu vifikiwe na tovuti zinazohusiana</translation>
</translationbundle>